johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,833
- 145,839
Hizi kauli za KIPUMBAVU kabisa. Unawezaje kutoa hoja ya kuharibu Nchi kisa uendelee kuwa CCM na kulipa ADA!!! ? Wasio CCM watoto wao hawasomi ? Huu ni ujinga, ni kama uwe mahabusu halafu mkeo aseme nilitembea na OCD ili upate dhamana kwenye shitaka lako la kuendesha gari ukiwa umelewa!!
Maisha yetu yanapaswa kufundisha watoto wetu TABIA thabiti na utu wema na misimamo ktk mambo mema na kuwa tiyari kulipa gharama muhimu.R.I.P Nelson Mandela
Godbless Lema
Mtandao wa X
====
Hii ni Kauli ya mtanganyika ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Habari
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema ameiita Kauli hii ni ya Kipumbavu
Namuunga mkono Lema 100%
Nawatakia Sabato Njema 😃