Njukas

Njukas

Ndugu karibu usihofu, tunahitaji michango yako.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
umenikumbusha enzi za mwinyi hivi mpaka enzi za Jk hili jina la njuka lipo?
 
Karibu arifu......ni nini kimekufanya uingie jf chali angu na wala sio fb??
 
Karibu lakin ujuwe kuna BANS ikipitua mipaka.
 
Halafu si kuna mtu humu jf anaitwa maskini jeuri?dah wewe umefanya kuliunganisha bila space
 
Back
Top Bottom