Jamaa m1 alikua anaota anakula pilau na minofu ya nyama, kuamka asubuhi akakuta godoro alilolalia limebaki kipande tu.