Njooni tuzungumze

JF imevamiwa na wapumbavu kama ninyi..... Badala ya kuanzisha nyuzi za maana mnaanzisha upuuzi puuzi kama huu na zote zilizofutwa...


Ndio maana nasema wanawake wana akili za kuvukia bara bara tu i.e shake well before use.....

Sasa we umevutwa huku au umeitwaaa hayaa huku ni mapenzii tu kuna jamii palace kule mbona huendiii au! !!
 
JF imevamiwa na wapumbavu kama ninyi..... Badala ya kuanzisha nyuzi za maana mnaanzisha upuuzi puuzi kama huu na zote zilizofutwa...


Ndio maana nasema wanawake wana akili za kuvukia bara bara tu i.e shake well before use.....

Umetupunja mkuu wengine tunazo na za kwendea msalani tulifundishwaga tangu utoto kuwa excretion ni muhimu!
 
Ohooo cjakuelewa mkuu embuu fafanua vizuri

we tumboo jua kua ckila m2 wa kumpa kitu wengine hawawezi kushika. ukiona m2kakosa uvumilivu wa ku2nza ki2 basi hata ya kwake ya ndani wako uchi.
 
Last edited by a moderator:
JF imevamiwa na wapumbavu kama ninyi..... Badala ya kuanzisha nyuzi za maana mnaanzisha upuuzi puuzi kama huu na zote zilizofutwa...


Ndio maana nasema wanawake wana akili za kuvukia bara bara tu i.e shake well before use.....

Zingekua zmekutimia ungekua jukwaa la siasa au ungepita kimyakimya unazan maneno yako yanamsaidia nan apa embu pita kushotooo ukatokeee ahera......we akil zako zakuvukia mto???
 
Dada zangu shikamooni. Poleni kwa michambano, nimepita kuwasalimia tu baada ya kuona mnapunga kijiupepo hapa baada ya uzi ule kuminywa.
 
we tumboo jua kua ckila m2 wa kumpa kitu wengine hawawezi kushika. ukiona m2kakosa uvumilivu wa ku2nza ki2 basi hata ya kwake ya ndani wako uchi.

Hahaaa naomba unifate pm hapa uzi huu utafutwaa
 
Last edited by a moderator:
we tumboo jua kua ckila m2 wa kumpa kitu wengine hawawezi kushika. ukiona m2kakosa uvumilivu wa ku2nza ki2 basi hata ya kwake ya ndani wako uchi.

Kweli ila kuna wengine huwa hawapewi ila wanazusha tu!
 
Last edited by a moderator:
Baada ya Mchina kutoa simu za bei rahisi siku hizi hata wapumbavu wanaingia JF.....


Mnaleta mugomvi yenu ya private kwenye public platform....... Hizi ni akili au ni matope.....
 
Kwan huyu gfsonwin anatisha sana?...mwambieni aje kumpima mimba mke wangu

Teh teh teh mkuu mimi nimepita tu, usinihamishie wananchi wenye hasira kali wakaniua bure! Ni mtazamaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…