Njooni tuzungumze

Na kweli tutapata ban
Ila hii movie itaendelea
Siku yaja

Ila yale mawe tuliyoyarusha yamempata walahi afu akaamua kuja na id mpya et nlim pm kujitong....embu niishie apoo.....enhee tuingie kwenye mada sasaa tusje pigwa ban buree
 
Kashaupata yulee akirudia nta hakikisha na pigwa ban kwaajil yake tumpotezee tuendelee na yetu wasije wakatufutia na huu

Hivi kweli jamani kumtangazia mwenzio mambo yake kuna faida gani haijalishi ni ya ukweli au ya uongo........mwanamke stara jamani hakuna aliye mkamilifu!!!
 
Kumbe JF imekuwa ya Kipumbavu Namna Hii.....


Admin nyuzi kama hizi Funga mapema tu na Mleta Mada piga BAN.

Kama umetumwa na wewe watu tuna kiu apa tunapata kipozeo waja kutuchokonoa enhee
 
Hivi kweli jamani kumtangazia mwenzio mambo yake kuna faida gani haijalishi ni ya ukweli au ya uongo........mwanamke stara jamani hakuna aliye mkamilifu!!!

Yan we acha tuu anijui cmjui ila ndio tabia yake yulee ndio maana kajifichaa...achana nae
 
Hivi kweli jamani kumtangazia mwenzio mambo yake kuna faida gani haijalishi ni ya ukweli au ya uongo........mwanamke stara jamani hakuna aliye mkamilifu!!!

staha ya mwanamke inalindwa na kinywachake. habari ya ukifua chujio haitakiwi
 
JF imevamiwa na wapumbavu kama ninyi..... Badala ya kuanzisha nyuzi za maana mnaanzisha upuuzi puuzi kama huu na zote zilizofutwa...


Ndio maana nasema wanawake wana akili za kuvukia bara bara tu i.e shake well before use.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…