Tafwazari sanaa naomba tusimzungumzie yulee bidada maana mods wanamtetea sana......tuzungumze yetu jaman Dinazarde princess sayuni miss neddy ICHANA Avemaria
Tafwazari sanaa naomba tusimzungumzie yulee bidada maana mods wanamtetea sana......tuzungumze yetu jaman Dinazarde princess sayuni miss neddy ICHANA Avemaria
Sipend mtu kujifanya ananijua saaana.
Kashaupata yulee akirudia nta hakikisha na pigwa ban kwaajil yake tumpotezee tuendelee na yetu wasije wakatufutia na huu
Mie koo linaniwasha kweli ngoja nami nifanye jitihada za kupata walinzi wa ngazi za juu maana naona bidada anapendwa kweli!
Heheheiya....in isha mashauzi's voice
Sipend mtu kujifanya ananijua saaana.