Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Hapo kwenye red umemaanisha nini?Niko naye wa hivo basi siemi mpak kuchepuka nasahau
Maneno mzuri ila hivyo vivulana sijui vitaielewa hiyo lugha ya malkia? au hukuwalenga wao?Na kweli team kiume or team vivulana.
Wanaume hawawi hivyo.
Hawachezi hivi vi cat and mouse games.
Wanajua kwanza muda wenyewe hauruhusu. You just have 24 hours to make enough money to pay bills, have a side project to make you more cash or a side course to increase your knowledge.
Within hizo 24 hours unatakiwa upate 6 to 8 hours of rest.... Sasa sijui huo muda, energy na resources za kufukuzana na vibinti 3 unatoa wapi na bado you make progress in life.
Unless you are jobless, you stay at your parents home and feed off their pockets.
#Shakingmydamnhead.
Mkuu namaanisha uwe na watatu kwa mpigo wa staili hiyoNiko naye wa hivo basi siemi mpak kuchepuka nasahau
Bora kuwa mvulana kuliko kuwa mwanaume wa Dar[emoji23]Na kweli team kiume or team vivulana.
Wanaume hawawi hivyo.
Hawachezi hivi vi cat and mouse games.
Wanajua kwanza muda wenyewe hauruhusu. You just have 24 hours to make enough money to pay bills, have a side project to make you more cash or a side course to increase your knowledge.
Within hizo 24 hours unatakiwa upate 6 to 8 hours of rest.... Sasa sijui huo muda, energy na resources za kufukuzana na vibinti 3 unatoa wapi na bado you make progress in life.
Unless you are jobless, you stay at your parents home and feed off their pockets.
#Shakingmydamnhead.
Mungu anapaswa kukinusuru kizazi hiki cha .com kwa kuzidi ulaini....
Wakati wa ujana wangu, niliweza kumiliki wasichana 2 wanafunzi, wanawake 2 muajiriwa na mfanya biashara, pamoja na wake za watu 2. Na wote 6 niliweza kuonana nao kila siku kwa nyakati tofauti, na tena bila ya kukosa.
Sipendi nione ukibadilia na kua kama kizazi cha nyokaNaomba funzo mkuu
Kipindi hicho ulikuwa unawasiliana nao kwa barua siyo, na si kwa simu zetu hizi za mkononi.Mungu anapaswa kukinusuru kizazi hiki cha .com kwa kuzidi ulaini....
Wakati wa ujana wangu, niliweza kumiliki wasichana 2 wanafunzi, wanawake 2 muajiriwa na mfanya biashara, pamoja na wake za watu 2. Na wote 6 niliweza kuonana nao kila siku kwa nyakati tofauti, na tena bila ya kukosa.
FisiemHapo kwenye red umemaanisha nini?