Njooni Tuipange Serekali ya Ukawa baada ya October 25

Njooni Tuipange Serekali ya Ukawa baada ya October 25

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Kutokana na hali ya kisiasa ilivyo ndani ya Ccm kwa sasa,Na hali ya uchumi wa nchi yetu,jumlisha na ufisadi wa escrow na ripoti ya CAG ya juzi,Ni dhairi kabisa kisiasa huu ndio mwaka katika historia ya chaguzi za vyama vyingi nchini.Ccm wanaingia kwenye kinyang'anyiro wakiwa na asilimia ndogo sana za ushindi

Kwa maana hiyo,kwa sababu pia Jamii forum ndio sehemu pekee viongozi wa juu wa vyama na serekali huingia na kuchukuwa mawazo ya watanzania kimya kimya njooni wanajamvi kwa pamoja tuanze kutoa ushauri kwa Ukawa,Namna nzuri watakavyopanga safu zao za juu kiongozi baada ya october 25

Kwa kurahisisha zoezi hili twende na tetesi zilizopo,Dr Slaa atasimama kuiwakilisha Ukawa kama rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania

Tetesi nyingine waziri mkuu ni Profesa Ibrahim Lipumba

Sasa uwanja uliobaki wazi ni wetu wadau tupendekeze makamu wa rais

Jaji mkuu

Katibu mkuu kiongozi

Na nafasi zingine zote pamoja na baraza la mawaziri na wizara husika,Tuwataje kwa sifa na weleji wa timu nzima ya Ukawa kama tunavyoijuwa kwa uwezo wao.

Tushauri,Wachukue ushauri na wakaunde serekali imara,serekali ya wananchi"UKAWA"

Karibuni!
 
UKAWA wakipata hata robo ya kura za urais njoo unikate kichwa
 
waziri wa fedhas josephat ngwajima.
waziri wa utamaduni- prof j.
mambo ya ndani_lema.
mkuu wa mkoa tabora-lipUmba.
waziri wa michezo-sugu.
jinsia na watoto-mnyika.
usalama wa taifa-yerico nyerere.
 
Tuongee REALITY tuache UTOPIA.

Ninaweza nikakubari kwamba UKAWA wanaweza kushinda kiti cha Urais. Hivyo UKAWA kutoa Rais na VP.

Lakini Ukweli ni kwamba UKAWA hawawezi kutoa WM. UKAWA inaweza kuwa na majority MPs, lakini UKAWA sio chama cha siasa. Hivyo ukianza kuhesabu MPs ki-vyama, i.e. CDM, CUF, NCCR, CCM, it is definetely CCM ndiyo itakuwa na wabunge wengi.

Maana yake nini? Kulingana na katiba yetu ya mwaka 1977. WM anatakiwa atoke kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni. Hivyo hata kama UKAWA watashinda kiti cha Urais, WM atatoka CCM. Hivyo rais wa UKAWA atalazimika kumchagua mbunge wa kuchaguliwa kutoka CCM kuwa WM, hili ni takwa la KIKATIBA.

Prof Lipumba hawezi kuwa WM unless utuambie kwamba CUF ndiyo chama kitakachokuwa na wabunge wengi kuilko CCM, CDM, NCCR etc Jambo ambalo hata wewe huliamini in the first place.
 
UKAWA wakipata hata robo ya kura za urais njoo unikate kichwa

We bwana kichwa chako kishakatika kabla ya kukatwa...!!!!

Hivi hizo kura robo za Urais ndiozipi? Kwamba kuna kura rasmi anazopaswa kupata Rais ili kutawazwa kwenye kiti hicho? Je hizo kura rasmi ni ngapi ili tupate robo yake?

Ndorobo kasoro punguani..!!!

BACK TANGANYIKA
 
Tuongee REALITY tuache UTOPIA.

Ninaweza nikakubari kwamba UKAWA wanaweza kushinda kiti cha Urais. Hivyo UKAWA kutoa Rais na VP.

Lakini Ukweli ni kwamba UKAWA hawawezi kutoa WM. UKAWA inaweza kuwa na majority MPs, lakini UKAWA sio chama cha siasa. Hivyo ukianza kuhesabu MPs ki-vyama, i.e. CDM, CUF, NCCR, CCM, it is definetely CCM ndiyo itakuwa na wabunge wengi.

Maana yake nini? Kulingana na katiba yetu ya mwaka 1977. WM anatakiwa atoke kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni. Hiv

yEah,uko smart kichwani kijana,hii kitu haikuja mawazoni.
 
Tuongee REALITY tuache UTOPIA.

Ninaweza nikakubari kwamba UKAWA wanaweza kushinda kiti cha Urais. Hivyo UKAWA kutoa Rais na VP.

Lakini Ukweli ni kwamba UKAWA hawawezi kutoa WM. UKAWA inaweza kuwa na majority MPs, lakini UKAWA sio chama cha siasa. Hivyo ukianza kuhesabu MPs ki-vyama, i.e. CDM, CUF, NCCR, CCM, it is definetely CCM ndiyo itakuwa na wabunge wengi.

Maana yake nini? Kulingana na katiba yetu ya mwaka 1977. WM anatakiwa atoke kwenye chama chenye wabunge wengi bungeni. Hivyo hata kama UKAWA watashinda kiti cha Urais, WM atatoka CCM. Hivyo rais wa UKAWA atalazimika kumchagua mbunge wa kuchaguliwa kutoka CCM kuwa WM, hili ni takwa la KIKATIBA.

Prof Lipumba hawezi kuwa WM unless utuambie kwamba CUF ndiyo chama kitakachokuwa na wabunge wengi kuilko CCM, CDM, NCCR etc Jambo ambalo hata wewe huliamini in the first place.

Ukawa itakuwa na wabunge wengi kushinda Ccm,Kwa maana hiyo waziri mkuu atatoka ukawa pia
Ni jambo rahisi sana kwa upepo huu wa kisiasa uliopo nchi.
 
90's Propaganda at work,We need new blaza

hiyo ni ukweli labda akagombee VATICAN sio Tanzania nchi ambayo ni muungano wa tanganyika na Zanzibar. ..zanzibar nchi ambayo raia wake wanaishi kiislam kisha leo WAMCHAGUE PADRE??? huhuhuhuh labda VATICAN
 
Back
Top Bottom