mbona mgomvi jamani. Kwani mara ya mwisho kupata pipi ni lini?
tatizo mwafudenge anatununulia zawadi TK MAXX sijui!sasa si Nyani Ngabu kanistua huko TK MAXX ndo kunapatikana zwadi za aina gani!!mi akhu!nimejitoa rasmi kwenye kundi la wanaosubiri zwadi za natalia!
si bora we umeletewa pipi!
mi alichoniletea .lol!sina hamu!
We kaichukue uniletee mie shosti, ila usimwambie mtu.
Lisa siwez kumsahau mtu kama wewe maishan hope you know that but ni kutokuwa na sehem kubwa ya kumdondosha kila mtu kwa nafasi yake. nakupenda sanagfsonwin mm mbona silioni jina langu kwenye orodha yako!Basi naomba hata mabaki ya zawadi wakati unafunga zile zinazodondoka uniite nitakuja chukua Loh!
Huyo hana ujanja wa kugonganga na mimi.... Ye kama anajua kucheza mipira mikubwa mie nshajizoelea volleyball, unasmash na kudive..... Mchezo ukiisha mnapeana mikono na timu pinzani.hahahahahahah! nimekuletea neti lol! halafu hivi bado timu yako ina wachezaji ama mmesha staafu?? naskia mlipata mgongano wa maslah na ALLEN ALEX hana masihara
We kaichukue uniletee mie shosti, ila usimwambie mtu.
Huyo hana ujanja wa kugonganga na mimi.... Ye kama anajua kucheza mipira mikubwa mie nshajizoelea volleyball, unasmash na kudive..... Mchezo ukiisha mnapeana mikono na timu pinzani.