Njooni huku tusherehekee

sbikore

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
535
191
Wana JF wenzangu, leo ni siku muhimu sana kwa wote tuliojaliwa kuiona.

Na jambo la heri kwa ndugu jamaa na marafiki kukaribishana na kusheherekea pamoja.

JF members ni watu wa familia moja. Je, wewe umemkaribisha mwenzio?

Karibuni nyote kwangu, Serengeti Mara, tusherekee pamoja. Nimeandaa chakula na vinywaji vya kutosha kabisa, hakuna atakayepungukiwa.

Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom