Southern zone
Member
- Feb 11, 2019
- 32
- 17
Ndugu zangu tujitahidi kuwa wakweli kwa sasa biashara ya mafuta haelipi kabisa kwa watu wenye mitaji midogo kutokana na kodi na tozo mbalimbali kwenye bidhaa za petrol. Mashine za EFP zimeharibu sana TRA wanachukuwa full kodi, Services levy wanachuukuwa periodic report bado OSHA, EWURA, WMA, NEMC, TAPSOA , bika kusahau. Sheria ya mpya upakiaji mizigo imeongeza gharama za uchukuziMkuu napenda kukufanulia kuwa baishara ya mafuta haiko hivyo kama ulivyoandika jaribu kufanya utafiti. Napenda kukufahamisha kuwa 10% ya 200 mil ni 20mil tu ambayo ni pesa ya kawaida sana kwenye faida ya Kituo cha mafuta kwa mwezi. So biashara hii ni tofauti sana na unavyoandika mkuu na usipate woga kuijaribu siku moja ili uujue undani wake!
FYI wala usiongelee tankers mbili nyingi sana hizo ni lita elfu 80, hata nusu tanker tu lita elfu 20 pekee inaweza kutoa hiyo 20 mil kwa mwezi na kampuni ikabaki na faida nzuri tu!
Karibu sana tufanye biashara mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app