SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,953
Ndiyo maana Wa Kenya wanakunywa!Kiwango cha chini angalau ni 60% of alcohol ikiwa imekamilika kwa matumizi...
Ila pia sio zote zinatumia alcohol.
Wakishaona alcohol tu, basi wanajua kinywaji tu.
Sent using Jamii Forums mobile app