Njoo ununue sanitizer Corona inatisha

Njoo ununue sanitizer Corona inatisha

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,882
Nimeona niwaokoe wenzangu humu bna mkifa nitabaki na Nani?
Hii sanitizer bna nauza mls 100 elfu 9000 tu
Ukichukua pc 12, 8500
Mawasiliano 0679834671
Ndogo yake mls 50 nauza elfu 6
Mkipiga simu anzia saa tano usiku itapendeza.delivery pia ipo wakuu
IMG_20200324_154827_342.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona niwaokoe wenzangu humu bna mkifa nitabaki na Nani?
Hii sanitizer bna nauza mls 100 elfu 9000 tu
Ukichukua pc 12, 8500
Mawasiliano 0679834671
Ndogo yake mls 50 nauza elfu 6
Mkipiga simu anzia saa tano usiku itapendeza.delivery pia ipo wakuuView attachment 1398146

Sent using Jamii Forums mobile app

Sorry naomba kujua jambo, wanasema sema swala la ratio ya alcohol! Kwamba ianzie asilimia kadhaa ndiyo inaua corona virus, hapo inakuwaje? na hizo zako zina asilimia ngapi ya alcohol?
 
Kweli mkuu ukifa tutabaki na nani me nataka uniletee nyumbani.kwa mda huo
 
Sorry naomba kujua jambo, wanasema sema swala la ratio ya alcohol! Kwamba ianzie asilimia kadhaa ndiyo inaua corona virus, hapo inakuwaje? na hizo zako zina asilimia ngapi ya alcohol?
Kiwango cha chini angalau ni 60% of alcohol ikiwa imekamilika kwa matumizi...
Ila pia sio zote zinatumia alcohol.
 
Ikiwa free hawajairecommend wajuzi
Wanatumia mbadala wa alcohol(agents km b. chloride)sio km hawaweki kitu kbsa... zinatumika ila Kama unavyosema haziko recommended sana
 
Back
Top Bottom