Unayo?Ahsante kwa taarifa...
Zipo mbili zote nauza 360,000
Au kwa moja nauza 185,000
Philips na solstar
0744680670View attachment 2161693View attachment 2161694
Zinaonekana nzuriZipo mbili zote nauza 360,000
Au kwa moja nauza 185,000
Philips na solstar
0744680670View attachment 2161693View attachment 2161694
Lete inchi 24 km unayoAll the best
Mkuu nicheki tufanye biashara 0764161048Habari zenu. Natafuta TV flat screen ya inchi 24/25/26.
1. Isiwe na tatizo lolote
2. Kioo kiwe kisafi, kisiwe na mikwaruzo wala michubuko.
3. Iwe haimjui fundi.
Kama unayo, njoo PM.
Location: Tandika, Dar.
Inchi ngapi na bei yake ni ngapi ?Mi ninayo
Unayo? Na unauza sh ngapi?55 inakufaaa?
1milUnayo? Na unauza sh ngapi?