Njoo uniunganishie dot tafadhali

simple mama atakua amemuelezea mganga aina ya simu, mganga alipo lipwa ada ya kazi yake akaenda kununua simu, ili kununua simu nyingine mjini shule, hii tunaita kununua simu

kipao mbele cha kwanza hadi cha tatu ni elimu
 
Pole mwaya....
Waganga ni waongo na wachonganishi tu...


 
Tobaaaaaa.......


 
sio waganga wote waongo. tena mwogope sana mganga wa kurithishwa.
 
Mganga ni mtu wa wapi?
sio mpemba?

mimi naamini hiyo simu haikuibiwa
ilikuwa misplaced tu hapo nyumbani
mganga aliweza gundua hilo ndo maana akampa siku saba ataipata
si ajabu mumewe aliichukua aikague kwa wivu
halafu ndo kajifanya kaipata
mganga si ajabu anawajua vizuri yeye na mume wake
 

Hahahaha!! Mweee!!! Mme wake hana wivu hata akimkuta anabanjuliwa huwa anaondoka zake kulewa.
 
ukosahihi mkuu kama anakataa aje akanushe hapa. you are super intelligent.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…