Njoo unipe mkasa ulifanyaje ulipompa Mimba Binti ilhali haukujiandaa

Kwanza kabisa nilipolpata taarifa za mimba moyo ulisimama, akili ikaganda na mwili ukasinyaa, ghafla nikajiliwaza kwa kusema huyu mwanamke atakua amenicheat na ameona mimi ndo wa kutupiwa mimba, So chakufanya ni kuiruka tu...

Baada ya kukataa nilikaa kwa muda wa siku 3 nikiwa na mawazo kibao yaliyojaa maswali mengi , je huyu mwanamke anawezaje kunisaliti na kunibambikizia mimba? , Vipi kama kweli ni ya kwangu?, Itakuaje kama mama mtarajiwa ataugua?, Aseeeh japo niliwaza sana na kutamani kupata majibu walau wa swali hata moja lakini kadiri muda ulivyokua ukiongezeka matumaini ya kupata majibu yalikua yakitoweka.....
 
Beba jukumu Hilo,, Haina haja ya kukimbia. Huo ndio uanaume... Na kithibitisho kuwa ulikuwa na upendo wa dhati kwake.
Hivi kwa nini wananwake nyie mkitupa kavu mnadaka mimba fasta sana lakini mkiliwa kimasikhara hamdaki hizo mimba
 
Wakuu hivi kuna mimba ya bahati mbaya? Ukipiga peku atapata mimba hiyo ni biology sio miujiza.

Anyway mimba ni jukumu zito na mtoto ni moja kati ya vitu ghali sana kuvihudumia, itahitaji mda na pesa lakini uzuri baada ya mda utaona matunda.
 
Embu tuwe serious jamani. As long as you f**k her raw jua kuwa tendo limewekwa kwa ajili ya kuongeza dunia na sio starehe tu. Unapomlala mwanamke kavu...anything could happen. Hamnaga bahati mbaya msee hakuna!!

If hauko tayari kulea au kutunza au kuoa aisee use your goddamn hands... Dont and Never act recklessly in the name of fun f**k. Halooo!!!

Sio fare masela kuongeza masingle mama tunaharibu society, watoto wanalelewa na upande mmoja. Haki zao zinakatiliwa dadekk.. matukio ya uharibifu ni mengi mno. Misingi ya familia inaharibika. Tusidamage the society zaidi..wote tuwe responsible with our actions..ukichovya ujue na kulea fulustopu.
Am Already for taking responsibility on that.

Siamini Sana Katika Kujiandaa katika Maisha Mambo mengine uja Hata kiuhalisia WA akili zako unaweza sema Haujajiandaa.
 
Kwanza kabisa nilipolpata taarifa za mimba moyo ulisimama, akili ikaganda na mwili ukasinyaa, ghafla nikajiliwaza kwa kusema huyu mwanamke atakua amenicheat na ameona mimi ndo wa kutupiwa mimba, So chakufanya ni kuiruka tu...

Baada ya kukataa nilikaa kwa muda wa siku 3 nikiwa na mawazo kibao yaliyojaa maswali mengi , je huyu mwanamke anawezaje kunisaliti na kunibambikizia mimba? , Vipi kama kweli ni ya kwangu?, Itakuaje kama mama mtarajiwa ataugua?, Aseeeh japo niliwaza sana na kutamani kupata majibu walau wa swali hata moja lakini kadiri muda ulivyokua ukiongezeka matumaini ya kupata majibu yalikua yakitoweka.....
Mimi mwenyewe ndo kitu kilichonitokea Tangu Jana Hata akili Yangu Haijawa Sawa Ila imenibidi Maisha Yaendelee Tu hakuna cha Kuzuia katika Hilo.
 
Kama hamkujiandaa limetokeaje? Hebu nieleweshe apo?
Off course nilinyanduana nae kwenye Danger Day Japo nilimpa P2 Ila Kwa kuchelewa.

Na kuhusu kujiandaa au kutojijiandaa nahisi wewe mwenyewe mkuu unaelewa Hali halisi ya Mambo inavyokuwa Ila nimekubaliana na Hali nitaielea Tu.

Kuna Nguvu kubwa Sana Katika ulimwengu wa Rohini
 
Wakuu hivi kuna mimba ya bahati mbaya? Ukipiga peku atapata mimba hiyo ni biology sio miujiza.

Anyway mimba ni jukumu zito na mtoto ni moja kati ya vitu ghali sana kuvihudumia, itahitaji mda na pesa lakini uzuri baada ya mda utaona matunda.
Na ni hicho Tu ndo kinachoniumiza kichwa Aisee.

Ila Acha Tuone Mambo Yatakuwaje.
 
Iko hivi.

Ni bora moto uwe unawaka huku unatekeleza jambo kuliko usifanye lolote ukisubiri moto upoe.

Sina cha kukushauri siwezi kukuongopea kwamba mtoto anakuja na baraka zake coz nina watatu na bado naskip meals, kodi zinagongana, broke as fvck so sitaki kukuongopea.

Kama kila unavyopima unaona mpaka dogo anazaliwa utakua apeche alolo bro amua kwa utashi wako.

Ila kama utaona una haja ya kua baba hakikisha angalau kila baada ya siku tatu unakua na elfu 20.

Elewa ushauri wa braza hapa !!
 
Mimi huwa nasemaga mwanaume ukiona maisha yako ungaunga na huwezi kutumia kondomu bora uhasiwe tu usiwape watu shida
 
Umeruka ukurasa mkuu mbele hutoelewa unaelekea wapi.
Shika roho mkononi Lea wawili hao.
 
Back
Top Bottom