Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,079
Waungwana na wakubwa wenzangu,habari zenu...?
Jamani Mimi nina Swali nataka kuuliza wakubwa wenzangu...kwa Maana nikipita huku nasikia mechi uwanjani watu 11 wapo ndani wanacheza uwanjani,lakini kule uwanjani kwingine watu wawili au lazima kuwe partners.
halafu sasa kumeongezewa jina eti uwanjani kwa Fundi seremala..ha ha ha ha mjini kuna mambo.
Haya,tena nikipita nasikia mechi,na kule ndani pia mechi.
Sasa wakubwa wenzangu nyingi unapenda mechi ipi etii?? Ya watu 11 uwanjani au ya watu wawili ndani???