ElPuto Jefe JF-Expert Member Oct 16, 2015 5,281 19,387 Jun 14, 2017 #3 Hata nipewe 'makinikia' landrover ndogo si busu..
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,478 70,590 Jun 14, 2017 #4 Mazoea sitaki kabisaa na hivyo viumbe
Perfectz JF-Expert Member May 17, 2017 9,010 28,110 Jun 14, 2017 #7 Daah inataka moyo,hapo huyo mrembo hata akiniambia nisogee anipe papuchi sisogei kabisa
sab JF-Expert Member Jan 25, 2013 5,731 4,282 Jun 15, 2017 #11 katika mdudu ambaye hana urafiki wa kudumu na mwanadamu huyu, muda wowote anatoa cheche
Bishop Hiluka JF-Expert Member Aug 12, 2011 7,147 14,699 Jun 15, 2017 #12 Hmm! Hata wa plastiki sina urafiki naye...
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 67,945 162,141 Jun 15, 2017 #13 Tantaw said: Hata nipewe 'makinikia' landrover ndogo si busu.. Click to expand... a.k.a maboso