Njoo ujifunze maujanja ya technologia!

Natamani sana nijiunge na hill darasa lako lakini labda unishawishi kwa kuweka hapa angalau somo moja bure, tujue uwezo wako kwanza" isijekuwa kime0.
Hii ni forum, huku watu wanatiririka tu.
 
Njoo ujifunze maujanja ya technologia kwa kutumia simu au computer yako kwa urahisi na ujuzi zaidi!!!
1)Kuunganisha CPU na tv yako,
2)jinsi ya kujua quality ya movie, na uzuri Wa movie kabla hujaiangalia
3)kudownload movie and series kwa urahisi zaidi
4)takupatia website matata za kupata na kudowload subtitle ya movie yeyote
5)kusave doc(picha, video) zako muhimu bila kutumia memory,
6)kuconvert na kuedit pdf kwenda kwenye mfumi wowote
7)kusave # za simu kwenye gmail
8)kuongeza space & speed kwenye simu yako,
9) matumizi ya Ms. excel & word
Na mengine mengiii sana dunia iko mikononi mwako! Karibuni katika ulimwengu Wa technologia,
Ada kwa mwezi ni 3000/- tu, tuma direct M-PESA kwa no. 0762243055 kisha nitext jina lako ulilotumia ntakuunga mara moja kwenye kundi. Masomo yataanza tareh 2 Jan. 2017,
Basic skill hamna kipya hapo........ Kuunganisha cpu na tv c ga au hdmi cable tu kazi inaku imeisha...... Ku download movie kuna torrents sites kama Extratorrent na torrentx etc....... Movie quality zpo kwanzia CAMS had 1080p.....Mkuu huna jipya jopange na vitu vingine vya maana
 
Sawa mkuu ntajipanga
 
Na nilivyofungua haraka hii thread, nimekuja nduki nikidhani kuna terial la kutosha, kumbe mtu anatangaza biashara. Lipia kwanza tangazo ndo tujiunge na hicho chuo chako cha online.
 
Back
Top Bottom