dalalitz JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 3,476 Reaction score 2,086 Jul 6, 2016 #21 Mheshimiwa Sana naona gharama zako ni Rafiki ila jambo moja, Mamlaka gani ya Elimu inakutambua na zaidi ya ufahamu mhitimu utampata cheti?
Mheshimiwa Sana naona gharama zako ni Rafiki ila jambo moja, Mamlaka gani ya Elimu inakutambua na zaidi ya ufahamu mhitimu utampata cheti?