Njoo uingalie kama imekaa vizuri!

Kuishi kwingi kuona mengi!
Jana mama watoto aliniacha kwa dk 30 dukani kwake baadaya kujisikia vibaya!
Wakati namsubiri dada aje aendelee na kazi pale dukani!
Aliingia dada wa makamo kama miaka 40 au mid 30s' Akanunua gauni afu akaniuliza kama kuna chupi nikwamwonosha akachukua size yake !Akaniuliza kuna sidiria nikamuonesha akaomba akajaribu ,nikamwonesha chumba ....akiwa huko nikasikia akiniita eti nikaangalie kama imekaa vizuri au la!
Jamani kazi gani hii! Nilipigwa na butwaa !Lakini nikaone pengine ni mliberali mambo leo hajali nikaingia ,nikwamwambia vizuri !Akageuka nyuma kunionyesha mgogo eti niivute !nikauvuta akasema ahsante .
Akavaa blauzi yake akalipa na kuondoka !
Mh biashara ngumu sana!

kakufundisha nani hadith hii?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom