Njoo uchague yako

Huku masaini tunatumia ile ya kwenye mti kabisa, inaitwa ESONGOYO... superb.
 
hahahah nimejikuta nafutwa machozi kwenye uzi ule aiseee! nimefutika machozi ! aseee !hehehe wabarikiwe kwakweli ! sasa na mie najiona nna thaman !lol! naogopa kusema hapa !lol
Haha unaruhusiwa kuja kusema pm bana lol. Shoga angu wewe ni wa thamani sana, no matter what. Haha sijui ndo zawadi yako na wewe kwa ajili ya birthday ya pampula? Smile dear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…