Njoo ubebe vifaa vyote hivi kwa bei ya hasara

Njoo ubebe vifaa vyote hivi kwa bei ya hasara

Gharama ya hivyo vyote ukienda kununua Dukani vipya havizidi laki 4, Meza laki na point, Subwoofer kwa sasa hadi 65 zinapatikana na hiyo TV ni kama laki tu Mpya sasa wewe umetumia kabisa hapo bei haitakiwi kuzidi laki 2
 
Kwa bei hiyo (laki nane) utazunguka navyo sana. Huwezi kupata zaidi ya laki na nusu.
 
Tafuta mtu wa Chunya makongorosi ndo anunue ila hawa vijana wa mujini huwapati kwa bei hiyo ,,ukikosa mtu kabisa vilete hapa uyole kwa 90,000 tu
 
Mzee nilete subwoofer ya 60 nikulipe cash
Gharama ya hivyo vyote ukienda kununua Dukani vipya havizidi laki 4, Meza laki na point, Subwoofer kwa sasa hadi 65 zinapatikana na hiyo TV ni kama laki tu Mpya sasa wewe umetumia kabisa hapo bei haitakiwi kuzidi laki 2
 
Hiyo subwoofer ya geepas naihitaji, bei gani
 
Mimi nipo Iyunga hapa lkn bei hiyo hapana.
Laki 2 na nusu sawa sasa hivi niambie ulipo niwashe petrol
 
Back
Top Bottom