Njoo tuwinde nyoka kwa kitoweo

Njoo tuwinde nyoka kwa kitoweo

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
104476_CachingSnak1_jpgee967916ffa93c1cf1d52e2746663fab.jpg


104477_CachingSnak_2_jpg29ed3b9f3a0db93b5df3d408f7acc625.jpg


104478_CachingSnak2_jpge2b5c67937c5cb6cf9d0ab1c6922f88b.jpg


104479_CachingSnak4_jpg032fa577c52bca4a812cf25c5c271beb.jpg


104480_CachingSnak5_jpg57ae74ca01631adf81987aa82562246f.jpg


104481_CachingSnak6_jpg42f432e322f2b6d75f2c864a44edbf44.jpg


104482_CachingSnak7_jpg5e1cfb77f0eb32f282f43380b632b619.jpg



104483_CachingSnak8_jpg3409948ffdbfc937230682d51b08d492.jpg
 
yaan picha tu mwili umeanza kutetemeka, je nikutane naye?
kuna watu majasiri!
 
Wakati naangalia picha moja baada ya nyingine nilikuwa naingiwa na hofu kwamba isijekuwa jamaa akatoka hana kichwa kweli inatakiwa usiwe muoga kwenye hii hatua ya kuwinda huyu Mdudu.
 
Wakati naangalia picha moja baada ya nyingine nilikuwa naingiwa na hofu kwamba isijekuwa jamaa akatoka hana kichwa kweli inatakiwa usiwe muoga kwenye hii hatua ya kuwinda huyu Mdudu.
umeona eh NAPITA.......
 
Last edited by a moderator:
Aiseee hapa sishawishiki hata chembe maaana hawa wanyama hata aliyekufa kama kichwa hakijaondolewa si msogelei kabisaaa.Lol!watu hawa...
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Mhhhh mwili unasisimka aise hiyo kitu hiyo sio yenyewe kabisa
 
Wakati naendelea kuangalia nimehisi huyo nyoka yuko chini ya meza yangu nikavuta miguu si waya wa printer ukanigusaaaa weee nimeruka na kuangusha makabrasha mezani! mmmmh nyoka/chatu ni balaa
 
Wakati naendelea kuangalia nimehisi huyo nyoka yuko chini ya meza yangu nikavuta miguu si waya wa printer ukanigusaaaa weee nimeruka na kuangusha makabrasha mezani! mmmmh nyoka/chatu ni balaa

pole.....
 
Kumbe mdomo wa nyoka kwandani una fanana na papuchi ilivyo kwa ndani

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
blaza hawa wanahatari ....



Halafu kwa ukamataji wao ni mwiko kumkamata akiwa amelala,na kama mkamataji akimkuta amelala lazima amuamshe kwanza na kumsubiri anapomshambulia ndio anamdaka shingo yake kisha anatingisha miguu, na ndio walio nje wanamvuta wakiwa na uhakika kuwa wamepata kitoweo....
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom