Njoo tumzungumzie msanii Marioo

Alichagua jina baya na yeye, angejiita tu Mario ingetosha sio marioo.
ni kweli
mtu kama una nia ya kufika international inabidi utafute jina la pekee, mario tayari ulishakua mziki uliotamba Africa wa Franco & madilu system halafu wimbo wa sifa mbaya.
watu wakisikia mario moja kwa moja tunajua wimbo wa Franco , kumbe mario sikuizi msanii
 
Tumpe mda huwa wanaanza vizuri ila wakisha fika juu wanaanza kuimba kichina kichina

Sijui ndo mziki ulivyo au kuna kuishiwa mashairi unavyo kuwa unazidi umri na kutoa ngoma
 
Dogo anajua sana kiki tu ndo kitu anachokosa asipoe sana ajitahidi kuruka na Dada zake was bongo movie na hype za hapa na pale ili aweze kugrab attention awe hot topic mitandaoni itamsaidia sana kukaa vinywani mwa watu
 
Huyu dogo amegrab attention yangu kwa nyimbo yake inaitwa "RAHA" nililuwa hata simjui kama kuna msanii anaitwa Mario. Hata jina la nyimbo nilikuwa silijui ila baada ya kufumania mzigo kwenye ki hiace chenye dundo la Sony Xplod mixer busta pale kati.

Tangu sikio langu kupagawishwa na raha niliamua kufuatilia ile ngoma mpaka nikaijua na yeye kumfahamu.
 
Hatari sana..na maproducer wake wanamtolea vitu vyenye production kali sana..

Huyu ni msanii bora Tanzania kwa upande wangu kwa huu mwaka
mm nlkua simjui huyu dgo ndo nmemsikia jana

khaa... we mbona anajua sana

mondi kwa nini hamchukui

Mkulima wa mahindi
 
Back
Top Bottom