Njoo tumzungumzie msanii Marioo

Haka ka bwana mdogo wanajitahidi ku ka promote lakini ni watanzania wachache wamemwelewa kifupi hakuna kitu,ANAIGA SWAGA ZA TEKNO!!! Ovyo kabisa
 
Dah dogo namkubali sana, ngoma zangu bora kabisa kutoka kwake ni hizi
1. Inatosha
2. Ifunanya
3. Raha
4. Ya uchungu
 
Nyie mpotezeni uyo dogo uwo mziki anaoimba ni mzuri unaburudisha ila sio mzuri/profitable kwa soko linavyoenda, mziki uwo wameimba wengi Bright, Baraka, ibra nation, Aslay nk.....ila wote wanapotea unachotakiwa kujua hakuna fundi wa mziki aina hiyo kama Diamond akifuatiwa na Harmonize “ila kwanini hawauimbi” hapo ndipo siri ilipo.

Unafikiri kwanini Diamond haimbi ngoma zake kama Sikomi, nitampata wapi, ukimuona nk.... Unsfikiri kwanini Harmonize haimbi ngoma kama Atarudi ila anaimba Uno, Inabana nk.....mziki wa Marioo ni mzuri ni mtu aliyeletwa Tz kutuburudisha Ila kama anataka kutoboa kweli aachane na kuwaburudisha watu ausome mziki unaendaje.
 
Huyo dogo ni zero tu , nilipenda chibonge kumbe nayo hamna kitu sio wimbo wake, kidogo dar kigumu, in overllal case, bado sio mtunzi mzur japo saut anayo
 
Back
Top Bottom