Njoo tuagize China mtaji kuanza 100,000

marktindo04

Member
Dec 16, 2019
23
74
Mambo vipi wana JF hope wote mko poa, ebwanaa najua katika maisha ukipata kuelewa kitu na unapo fundisha wenzako ndio unazidi kupata uelewa mkubwa zaidi na zaidi.

Sasa mimi ni kijana nina miaka 22, niko chuo but in reality akili yangu imekaa kibiashara sana ,nauza vitu online ambavyo naagiza nje ya nchi na napata faida nzuri tu lakin kwa mtaji niloanza nao ni mdgo sana ,naweza kutumia laki 3 kuagiza mizigo ambayo ikifika nikiuza napata faida tu 700,000 kuendelea.

mwanzoni nilikua nasoma kwa kuangalia video za youtube maana nilitokea kuchunguza Alibaba since 2015
siku ya kwanza kuagiza mzigo wangu ulikua ni Airpods yani wireless earphones za masikioni maana najua vijana wengi wanapenda vitu kama hivyo

then badae naweka tangazo la promotion instagram na kuuza zote kwa mda mfupi sana ,faida yangu inakua kubwa pale pale .wengi wanaambiwa eti kuagiza china mizigo inachelewa HApana kuna kampuni zinatumia week 3 mzigo unakua ushafika chap sanaa yan

Njoo whatsapp au Dm nikupe maelekezo ya kuagiza mizigo china na kuanza kuuza kupitia tangazo instagram ambapo ndo watu wengi hutumia mda mwingi sana
Yote haya tunaweza kutana kama upo Dar nika kwelekeza vizuri mwanzo mwisho na kukusaidia kila kitu hadi mzgo wako kufika Bongo
MALIPO YANGU NI TSH 20,000 TU

Note Mimi sio tapeli
page yangu ya instagram inaitwa @buymark
whatsapp/calls number 0746751987
 
Kwamba ulianza kuifuatilia Alibaba ukiwa darasa la Saba mkuu
 
yani hyo page ya mwisho ungeiweka tu mwanzo ndugu yangu kwa ote wanaotaka kuchukua mizigo kutoka china tumieni hawa jamaa wanajiita AGIZA wako pale ilala bungoni,na page zao za insta wanajiita hivyo hvyo AGIZA

ukifika ofisini kwao wanakufungulia account na wana kusaidia kuchagua vitu na kila kitu wanaku asist ikifika muda wa malipo wanatumia account yao kulipia mzigo ukipotea wanakurudishia hela yako ni wew tu kuchagua upate mzigo wako kwa meli au ndege
 
Acha kuziba riziki ya mwenzio
Mda wote huo ulikua wapi kuwaeleza haya watu ndo uje kupramia Uzi wa mwenzio.
Kila mtu atafute riziki yake kwa njia yake.
Hao agiza watafute kivyao..na huyu mwache atafute..kikubwa asimdhulumu mtu.
Hiyo 20,000 utajuaje kama anatafuta akamtibie mamake ama alishe mtoto?
 
Watu wenye roho za hivi huwa siwapendi hata kufanya nao kazi ,huyu anaweza kuua mtu aisee
 
Acha kuziba riziki ya mwenzio
Mda wote huo ulikua wapi kuwaeleza haya watu ndo uje kupramia Uzi wa mwenzio.
Kila mtu atafute riziki yake kwa njia yake.
Hao agiza watafute kivyao..na huyu mwache atafute..kikubwa asimdhulumu mtu.
Hiyo 20,000 utajuaje kama anatafuta akamtibie mamake ama alishe mtoto?

Yan shida ya watanzania tunapenda vitu vya bure sana ,yan for 20,000 unabadilisha maisha yako kama una mtaji wako kuanzia 100,000 sasa wanaona hata mm kutenga mda kufundisha nifanye bure
 
Back
Top Bottom