marktindo04
Member
- Dec 16, 2019
- 23
- 74
- Thread starter
- #21
yani hyo page ya mwisho ungeiweka tu mwanzo ndugu yangu kwa ote wanaotaka kuchukua mizigo kutoka china tumieni hawa jamaa wanajiita AGIZA wako pale ilala bungoni,na page zao za insta wanajiita hivyo hvyo AGIZA
ukifika ofisini kwao wanakufungulia account na wana kusaidia kuchagua vitu na kila kitu wanaku asist ikifika muda wa malipo wanatumia account yao kulipia mzigo ukipotea wanakurudishia hela yako ni wew tu kuchagua upate mzigo wako kwa meli au ndege
Nawafahamu vizur ila ww hujafikiria kabisa wambie wana JF na gharama zao ,mzigo gan utaagiza kwa 100,000 pale kijana wa hovyo sana ww