ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,184
- 45,236
- Thread starter
-
- #121
Aaa ni moro hiyo eehMvomero
Wadau majigambo mengi lakini hakuna aliyetimiza, ya kwangu utaipata tu ngoja ijae jae kidogo πMi nilijua upo ngazi ya 4 tayari kumbe yankii tu
Vipi amana yangu bro
Doooh πMi nilijua upo ngazi ya 4 tayari kumbe yankii tu
Vipi amana yangu bro
ππ usikute umejikopesha amana uliyopewaWadau majigambo mengi lakini hakuna aliyetimiza, ya kwangu utaipata tu ngoja ijae jae kidogo π
Matajiri wa JF ni hewa tupu πππ usikute umejikopesha amana uliyopewa
Matajiri wa JF kasheshe πMatajiri wa JF ni hewa tupu π
Utadhani ni BOT ndio huwa zinaandika kumbe ni watu, hata shilingi sijapewa mpaka sasa π
U remind me a lot at tandahimba (mtwara) πWapi huko mi nipo tandahimba huku chochii
Usiweke matumaini kabisa πMatajiri wa JF kasheshe π
Hata sijawahi kukanyaga huko usiniamini sana mkuu π π πU remind me a lot at tandahimba (mtwara) π
Amani
Bondeni
Chakati
Hiyari
Kawawa
Kiwanjani
Kota
Basiiiiii kwishaa mimi πUsiweke matumaini kabisa π
Usikwisheee π€£π€£π€£Basiiiiii kwishaa mimi π
We lied to our father, Mandala, didnβt we? πHata sijawahi kukanyaga huko usiniamini sana mkuu π π π
La hasha sifahamuWe lied to our father, Mandala, didnβt we? π
SawaaUsikwisheee π€£π€£π€£
πππPole sana funga macho tuombe
Poleπππ
Yaani hii ndio kama unaumwa halafu vyakula vzr vyote umeletewa na huwezi kulaπππPole
Pole sanaYaani hii ndio kama unaumwa halafu vyakula vzr vyote umeletewa na huwezi kulaπππ
Yh maana vitu vingn sio vya kusubirHaivuti kheri tena ?