Hii imetulia sana👍👍Habari Wakuu!
Nimerudi tena baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Miaka ya nyuma nilikuwa natoa Games za PC humu ndani for FREE, yaani ni 0 price. Nikapotea katika uso wa Magame kutokana kwa kukosa Machine ya kuchezea, nimerudi tena hivi punde.
Sina mengi kwa sasa ila natoa offer ya hii Game FIFA 19 ambayo ina 32.2GB.
Je, una PC ila washindwa kuipata hii Game sababu hauna External ya kukuwekea hii Game? Usiwaze, nina External, cha kufanya uje na Laptop yako tu, au kama una External basi wewe njoo na External yako tu.
Hii Game mimi mwenyewe nimesharun setup yake na nimeicheza ila haijanikaa saaana moyoni kama Battlefield 4.
Wakuu, nimetumia muda mrefu sana na gharama kuipata hii Game pendwa, sio vibaya kama ukaja na ela ya kula ugali.
Karibuni PM ama weka mawasiliano yako hapa mimi nitakutafuta.
Kwa hiyo naweza kudownload hapa hapa siyo?Habari Wakuu!

Mkuu, napatikana maeneo ya IFM.
Mkuu, RAM 4GB, Core i3 7th Generation.Hii imetulia sana👍👍
Naomba kujua specs za PC yako ili nijue kama nikutafute au nianze upgrading kwanza kama hautojali mku..
yako ni powered kuliko yangu, hapo itarun bila shida.Mkuu pc yang ni core i5 4th gen inaram 12gb ila haina dedicated graphic. Je naweza kucheza hlo game?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo wapi??????Nahitaji hiyo game mkuu
Acha uwongo ww! Pc ambayo haina dedicated graphics ina struggle ku run game za zamani kama pes 2012 ije kuwa fifa 19? ! Tafuta pc ww yenye dedicated gpu tena kama nvidia isiwe chini ya level 50 yani ( gtx 850, 950, 1050 & above) na amd iwe level ya juu zaidi kwa sababu zinakua weaker kidg uki compare na equivalent yake ya nvidia.hata uwe na processor ya core i9 huwez kurun fifa 19 bila gpu!yako ni powered kuliko yangu, hapo itarun bila shida.
hauna ndugu dar? kama unaniamini tuma external.Wa mikoan je vp
nimekufata PMNiko sinza,dsm.
Ninaweza kuja Popote ulipo
Nitext PM
Mpaka PC inakuwa na uwezo kama huo sio rahisi ikawa na graphics zinazoshindwa kurun hiyo game ktk lower settings.Acha uwongo ww! Pc ambayo haina dedicated graphics ina struggle ku run game za zamani kama pes 2012 ije kuwa fifa 19? ! Tafuta pc ww yenye dedicated gpu tena kama nvidia isiwe chini ya level 50 yani ( gtx 850, 950, 1050 & above) na amd iwe level ya juu zaidi kwa sababu zinakua weaker kidg uki compare na equivalent yake ya nvidia.hata uwe na processor ya core i9 huwez kurun fifa 19 bila gpu!