Njoo na Elimu Bure Yako.

Njoo na Elimu Bure Yako.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Elimu ni uwekezaji wa hali ya juu. Tusifanye mchezo.
20180128_144447.jpg
 
Huyu mbwa kazi kudanganya watz....
Dawa yake ya kuharibu mfumo wa elimu huku watoto wake yy rais wa wanyonge wakisoma shule bora tuukomeshe 26/04/2018
 
basi ingekuwa elimu bure huku mazingira yakiboreshwa

ya mfundishaji
ya anaye fundishwa
ya eneo la kujifunzia
ya vifaa vya kufundishia na kujifunzia

tungehitimisha kwa kusema kuwa elimu bure itamsaidia mwanafunzi.
 
Elimu bure maanayake ni Elimu osiyonatija yani bute kabisa. Msichanganye bure na bila malipo. ndo maana shule za mkwanja kwao Elimu sio Bure na wanzidi kung'ara.
 
Wahaya kwa sifa! sio kwa G7 hizo...btw ukitaka kuona elimu ni ghali jaribu ujinga..
 
Wahaya kwa sifa! sio kwa G7 hizo...btw ukitaka kuona elimu ni ghali jaribu ujinga..
Thamani halisi ya elimu ni kupitia shule binafsi kama hizi.

Huwezi kumfananisha mwanafunzi wa shule za serikali na products zinazotoka shule kama hizi.
 
ooooh kwa wakishua uko watoto wao wanawapeleka uko sie makapuku tunaenda elimu bure halafu tunashangilia
 
Back
Top Bottom