Njoo Kasulu Mjini nije Pwani au Dar

Njoo Kasulu Mjini nije Pwani au Dar

NANGAI MSUMI

Senior Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
146
Reaction score
94
Njoo KASULU MJINI mkoa wa Kigoma, nije mkoa Tanga, pwani au Dar es salaam, Wilaya yeyote. Idara ya sekondari.

Simu. 0652180400
 
Njoo KASULU MJINI mkoa wa Kigoma, nije mkoa Tanga, pwani au Dar es salaam, Wilaya yeyote. Idara ya sekondari.

Simu. 0652180400
 
Hahahah kigoma na lindi ni kama adhabu kwa watumishi sikukatishi tamaa lakini nina uhakika hupati mtu hakuna biashara huko
 
Ungekua wewe upo dsm ungekubali kwenda kigoma?ebu kua serious
Kuna watu wanaenda kukaa karibu na familia zao wazazi au wanaamua tu kurudi kwa sababu ni nyumbani kwao
 
Back
Top Bottom