"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

Sasa wewe geto kwa mwanaume unadhani ukienda utakuwa salamaa hata kama ni Ishu za biasharaa
 
Sasa wewe geto kwa mwanaume unadhani ukienda utakuwa salamaa hata kama ni Ishu za biasharaa
Ni kweli. Katika vitu nimejiwekea sitofanya kamwe basi ni kwenda geto kwa mwanaume labda awe kaka yangu 'mzazi' ndio nitaingia kama inanilazimu kufanya hivyo
 
Nataka kiandika kitu cha maana ila JF sikuizi chai za rangi zimezidi mpaka naona nisijekua napoteza energy
 
kaeni myamalize kikubwa la sivyo jamaa amekuwekea kisasi cha kudumu
 
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke daima.. Lazima kuna mmoja atakua na ulterior motives..

Besides.. Mi nashndwa kuamin hii kitu ulioandika hapa kwasababu jamaa alikua amekubeba asa umewezaje kuuchukua huo mwiko??

No matter what ukijenga picha kichwan italeta utata sana.. Itc too convincing for a fake story.
 
Ni kweli. Katika vitu nimejiwekea sitofanya kamwe basi ni kwenda geto kwa mwanaume labda awe kaka yangu 'mzazi' ndio nitaingia kama inanilazimu kufanya hivyo
Ukikubali kwenda means umekubali kuvua chupi
 
oh! Kumbe kuna jukwaa la sheria.ngoja niwacheki.asante
Hakuna haja ya kwenda Jukwaa la Sheria, wanasheria wengine tupo humu MMU. Kwanza nikupe pole kwa yaliyokusibu, ndiyo ukubwa huo.

Nikutoe hofu kwamba unao utetezi wa kutosha sana iwapo kweli ataamua kukupeleka Mahakamani. Kimsingi, kwa scenario uliyotuhadithia, kosa analoweza kukushtaki nalo ni "assault" au "grievous bodily harm", lakini kukushtaki ni jambo moja, jambo la pili ni wewe kutoa utetezi wako.

Katika utetezi wako, utasema ulimjeruhi kwasababu ya "self defense", sheria inaruhusu kabisa matumizi ya nguvu (reasonable force) ambayo yanaweza kupelekea majeraha lakini tu usitumia nguvu kubwa (excessive force) kuliko inayostahili. Kumjeruhi kwa mwiko ni "reasonable force" and not "excessive force", na utasema ulikuwa unajitetea kwasabau alijaribu kukubaka (attempted rape).

Pole tena. Ila kwa uzoefu wangu, huyo hajachukua RB wala nini, anakutisha tu ili unyong'onyee akakukaze, usiseme hukuonywa.

Pole sana.
 
tupe mrejesho
 
Afrika urafiki wa mwanaume na mwanamke ni kama kufuga kuku tu, ipo siku kuku atachinjwa aliwe nyama. Jamani!
 
Siku nyingine uwe unafikiria hata kidogo, yani mmekosa maeneo ya wazi mpaka mwende kuzungumzia biashara "gheto", tena jinsia 2 tofauti. Labda tu na wewe ulikua unataka mpomombo tuu su bure, em rekebisha story apo 😁😁
 
Naona ulitaka kula tunda kimasihara. Asikutishe njoo Ghetto nikupe ushauri wa kudili na watu kama hao.
 
Wewe jiko lako likoje? Umeshaona majiko ya kisasa namna yalivyo? Acha kujiaibisha aisee.
 
Wewe Ni mtu mzima Ila una akili za kitoto.

Ungeua ungejutia ujinga wako yaani sex tu ingekupeleka jela.

Sexi sio dili siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…