NJOMBE: Mwanafunzi wa Darasa la Pili auawa

NJOMBE: Mwanafunzi wa Darasa la Pili auawa

.... anauwawa mtoto (mtu) wa kwanza, wa pili, tatu, nne, bado wauwaji hawajajulikana tu? Intelligence iko taabani sio siri. Unless wana majukumu mengine tofauti na kazi yao ya msingi.
Wanapambana kwanza na kina zitto, wakimaliza watarudi kwenye proffesion yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wanasiasa wanasimama kwenye majukwaa na kuwahakikishia wananchi ulinzi!..Duh
 
Jua kwamba kuna mwanasiasa flan anataka kiti. Aweza kuwa sio wa huko Njombe ila inajulikani kabisa kuwa mauaji hayo ni ya kishirikina. Uchaguzi umewadia
 
Hivi mijitu bd inadanganywa eti ukipata kiungo flan cha binadamu waweza kua tajiri?

Ujumbe wa leo,
Ongeza wajinga na mataahira uokoe chama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba unaongea nn wewe inasemekana wanalipwa fetha nyingi sana kuna fala wame mkamata huyu ukimuona huwezi amini alikua anapesa Sana magar majumba cha kuxhangaza kaua watoto wa kakaake wapo wa tatu
 
Kuna kitu nyuma ya haya mauaji ukiangalia vizuri ni kama yale ya Kibiti. Serikali ifanye uchunguzi!
 
.... anauwawa mtoto (mtu) wa kwanza, wa pili, tatu, nne, bado wauwaji hawajajulikana tu? Intelligence iko taabani sio siri. Unless wana majukumu mengine tofauti na kazi yao ya msingi.
We…jifanye una andamana, utaijua intelijensia
 
Back
Top Bottom