Subiri kina mapembelo waje wakiongozwa na laki si pesa!Guys nataraji kwenda mkoa tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu na hotel nzuri ya kufikia na bei per night anisaidie. ikiwa around 25,000 to 30,000 itakuwa njema
Wasalam
Fikia Johnson HotelGuys nataraji kwenda mkoa tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu na hotel nzuri ya kufikia na bei per night anisaidie. ikiwa around 25,000 to 30,000 itakuwa njema
Wasalam
FM hotel,agreement hotel na JD hotel ni nzuri izoGuys nataraji kwenda mkoa tajwa hapo juu. Mwenye ufahamu na hotel nzuri ya kufikia na bei per night anisaidie. ikiwa around 25,000 to 30,000 itakuwa njema
Wasalam
Yeah ipo poa nayomkuu itakuwa poa au nimesia Mexons Hotel iko poa pia
Kwa bajeti yako ya TZS 25,000/= hadi 30,000/= hapo Mexons Cliff Hotels itakubidi ujiongeze kidogo. Rate zao ni kuanzia 60,000 hadi 120,000. Labda Glory Hotel ambayo rate yao ni kuanzia 30,000/= hadi 50,000/=.mkuu itakuwa poa au nimesia Mexons Hotel iko poa pia
Mkuu mi sio mshamba ka bibi ako..hayo yote nimefanya ila hamna contact zao sasa tatizo lao au langu..Bro acha ushamba wa kizamani kuuliza uliza. Fungua Googlemap>>>nenda njombe>>>select hotels... itakupa hotel zote, picha zake, number ya mawasiliano na bei.
Kila la heri. Dunia ni kijiji.
Hawa jamaa Glory Hotel hawana space wanadai zimejaa mkuu 60,000*30=1,800,000 mshahara wa mwalimu wa sekondari miezi minne na nusu..Kwa bajeti yako ya TZS 25,000/= hadi 30,000/= hapo Mexons Cliff Hotels itakubidi ujiongeze kidogo. Rate zao ni kuanzia 60,000 hadi 120,000. Labda Glory Hotel ambayo rate yao ni kuanzia 30,000/= hadi 50,000/=.
Mawasiliano yao:
Mexons ni 026 2782 282
Glory Hotel ni 0768 786 792.