Njombe forest plantation

Njombe forest plantation

Godwin mgunda

Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
9
Reaction score
18
NJOMBE FOREST PLANTATION
PANDA MITI YA MBAO UNUFAIKE.

Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya miti na Katika Tanzania mikoa ya Njombe na ni moja ya mikoa maarufu inayoongoza kwa misitu mikubwa ya kupandwa.

Miti inatumika kwa mbao, nguzo za umeme, nguzo za kujengea pamoja na utengenezeaji wa vitu vya thamani .

Hata hivyo kama una mpango wa kuwa na “financial freedom” usikwepe kufikiria uwekezaji wa muda mrefu. Waingereza husema “Information is power”. Wengi hawajachangamkia fursa.hii ya upandaji miti.

Hii ina maana inapofikisha umri wa kuanzia miaka saba huwa tayari kwa kuanza kuvunwa kwa mbao ndogo. Ekari moja ya shamba inachukua wastani wa miti mia sita (600). Wastani wa chini wa mti mmoja kwa sasa uliokomaa ni shilingi elfu ishirini (30,000 , inategemea na ukubwa wa mti). Ina maana katika ekari moja ukiwa na miti iliyokomaa unakusanya jumla ya shilingi milioni kumi na nane (18,000,000).

Uponunua mashamba , kinacho fuataa ni upandaji Kilimo cha miti ni rahisi sana kwa sababu ukishapanda hakihitaji uangalizi mkubwa sana na wala hauhitajiki uwe karibu na shamba/mradi muda wote. Kuna kazi chache ambazo zinahitajika ukishapanda shamba lako.

Mvua inyeshe ama isinyeshe mti wa mbao, nguzo ama ukishachipua huwa haufi kwani huendelea kutumia unyevu wa ardhini. Kazi namba moja unapokuwa umeshakamilisha upandaji wa miti kwenye shamba; ni kutengeneza njia za kuzuia moto walau mara moja kwa mwaka, kazi ya pili ni kufyekea miti inapokua walau kwa mwaka mara moja (prooning

Hata hivyo wote tunafahamu kuwa ardhi ni rasilimali inayopanda thamani kila siku Hii ina maana kuwa ukiwa na shamba la miti leo; thamani ya ardhi hiyo inazidi kupanda kila siku na miti uliyopanda inazidi kupanda thamani kila siku.

HUDUMA ZETU NJOMBE FOREST PLATATION KAMA IFUTAVYO

Tunatoa huduma ya upatikanaji wa mashamba ya kupanda miti ya mbao kwa bei ya 170,000 hadi 180,000.

Tunatoa huduma ya kuzalisha ya miche ya miti ya mbao na kupanda mashambani bei ya mche ni sh 100 aina ya Mikaratus na Pine

Pia tuna toa huduma ya kusimamia shamba kwa mteja aliye mbali na shamba lake.

Pia mteja ataunganishwa na serikali kwa ajili ya taratibu za hati.

MAWASILIANO.

0759431764, 0654317171, Email, njombeforestplantation@gmail.com
 
Thank you for you good work and for your positive intention/contribution of improving people's lives through tree planting ....

Someone once said, "FORESTRY IS WEALTHY".
 
Vizuri sana mkuu..Ipo siku nitakuja tena Njombe kuwekeza kwenye miti na viazi...nilisoma njombe hiki kilimo cha miti na mbao nakijua vyema, nakumbuka kupruni miti na njia za kulinda shamba dhidi ya kusambaa kwa moto
 
Mko wapi njombe? I mean ofisi ipo mahali gani na gharama zenu zipoje mkipanda ekari 1? shamba mnasaidia kutafuta au nijitafitie mwenyewe?
 
SHAMBA, 180,000
MICHE MICHE 600 60,000
KUPANDA NA KUSAFISHA SHAMBA 100,000
NJIA ZA MOTO 60,000
JUMLA SH 500,000
Jumla ni laki 5 au laki 4???
kwa izo esabu apo juu??
Afu pia mbn hautoi details za kutosha kama gharama za usimamizi kama mtu yuko mbali, gharama za kupata hatimiliki, n.k
 
Njombe nmeona watu wanang'oa miti ya mbao wanapanda parachichi imekaaje hiyo?
 
Jumla ni laki 5 au laki 4???
kwa izo esabu apo juu??
Afu pia mbn hautoi details za kutosha kama gharama za usimamizi kama mtu yuko mbali, gharama za kupata hatimiliki, n.k
Tunakuunganisha na serikali kwa taratibu za hati malipo yanamuhusu mnunuzi, gharama za usimaizi wa shamba inategemea na idadi ya eka ila eka moja ni sh elfu sabini kwa mwaka.
 
Tunakuunganisha na serikali kwa taratibu za hati malipo yanamuhusu mnunuzi, gharama za usimaizi wa shamba inategemea na idadi ya eka ila eka moja ni sh elfu sabini kwa mwaka.
Gharama za hatimiliki sh ngap? Hata kwa makadirio tu if not exactly..
 
Back
Top Bottom