Njiwa

Njiwa

Wasalaam ndugu zangu
Naomba nilete kwenu hii hoja.
Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni wanakuja tena kulala.
Siwajui ni wa nani, hivi hii inaweza kuwa sababu ni Nini?
Huenda ni njiwa tu wa kawaida hawafugwi hivyo wanakuja kulala hapo, sio kila kitu lazima kiwe na maana mkuu
 
Hakuna kitu hapo.

USIANZE KUWAZA MAMBO YA UTAPELI UTAPELI KAMA Covax na genge lake majini majini

Njiwa hutafutaga sehemu ilio tulia na amani wakae hata mimi ishawahi nitokea hii , ni kawaida sanaa

Walipotoka wamepitia kashi kashi walivyofika kwako wakakuta utulivu, ndo asili yao
 
Wamekosa utulivu huko kwao ndo wamehama hivyo.

Ukiwawekea kijibanda wataweka makazi na kuzaliana.

Ila weka pembeni na wanapolala sasa. As ukiwawekea at the same spot na wanapolaka wanaweza hama pia.
 
Wasalaam ndugu zangu

Naomba nilete kwenu hii hoja.
Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni wanakuja tena kulala.

Siwajui ni wa nani, hivi hii inaweza kuwa sababu ni Nini?
Hiyo ni dalili kwamba katika ukoo wenu mmoja wenu atakuwa kiongozi mkubwa sana wa nchi kabla ya mwaka 2026.
 
Nilifuga sana njiwa hao ndio maisha yao kama binaadamu huondoka asubuhi kutafuta chakula na akirudi jioni ni kwa ajili ya kupumzika.

Katika wanyama au ndege hao kwangu ndio number one. Mimi mpaka leo nawalisha njiwa na ndege hata sio wangu hata paka pia nafanya hivyo hivyo pia. Hizo ndio baraka zenyewe mkuu nunua mtama na uwele halafu walishe na kuomba dua.
 
Alama ya upendo, nunua choroko please asubuhi kabla hawajaondoka wape wale......

Napenda njiwa, niliwaweka kwangu kuna lipaka shume sijui hata lilitoka wapi likaanza kuwawinda wakakimbia 😢, tulikuwa tumezoeana, naweka choroko kwenye viganja wanakuja wanakula hawaniogopi, wakiniona wananifata hadi jikoni
 
Wasalaam ndugu zangu

Naomba nilete kwenu hii hoja.
Kuna njiwa wawili wa kike na wa kiume Huwa wanakuja kulala nyumbani kwangu, chini ya bati au Dari lakini asubuhi wanaonfoka ikifika jioni wanakuja tena kulala.

Siwajui ni wa nani, hivi hii inaweza kuwa sababu ni Nini?
Hakuna viumbe watata kama njiwa.

Ufugaji wao ni complex!

Waweza kuta wanatoka kwa mmiliki wao kuja kulala kwako, ama walishaasi kwake kitambo na sasa jamaa anawatafuta na hajui walikokimbilia!
 
Njiwa sio waislam bana. Kuwa na aman. Hawawez kubeba majini
  • Wakorintho 10:21: Inasema, "Hamwezi kushirikiana katika meza ya Bwana na katika meza ya mashetani".

Yesu Afukuza Mashetani Kutoka Kwa Watu Wawili​

(Mk 5:1-20; Lk 8:26-39)​

28 Yesu alifika ng'ambo ya ziwa katika nchi walimoishi Wagadarini.[a]Hapo wanaume wawili waliokuwa na mashetani ndani yao na kuishi makaburini walimwijia Yesu. Watu hao walikuwa hatari sana na watu hawakuitumia njia iliyopita karibu na makaburi yale.
 
Back
Top Bottom