Njiwa peleka salamu

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,454
Reaction score
42,567
Patricia Hillary nakukumbuka kwa wimbo huu. Hauchuji leo wala kesho ni classic sana

Chakushangaza niliambiwa wimbo huu Patricia aliutunga akiwa Tukuyu Kiwira magereza kwa wanyakyusa huko Mbeya mahali wasipojua hata nini maana ya taarabu.

Dunia inamaajabu yake jamani. Mimi ni mpenzi sana wa taarabu jamani hususani zile za zamani sio hizi za sasa.

Superbug.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…