Njiapanda, sijui ametuloga?

Njiapanda, sijui ametuloga?

Nyie wote mtakuwa wanawake, yeye ndiyo mwanaume.
 
Samahami lakini yawezekana nyote mazuzu na kiwango cha uzuzu mko saw
 
wenzako wameenda shule we umefeli nini....
ndio nini sasa ulichoandika
 
Mwanaume bhana avatar ni mama watoto usishangae

Poa mkuu, maana JF ina mambo mengi, nisije nikawa naku-adress kwa jinsia isiyo yako ikaleta ugomvi. Kuuliza ni vizuri.

Thanks.
 
Inawezekana kweli umelogwa si bure maana kushea na wanaume wenzako halafu unaona sawa tu inahitaji kujitoa ufahamu na magonjwa haya tuliyonayo.Hebu tafuta wokovu utokane na ushetani ulionao.
 
Back
Top Bottom