We mwenyeji wake usiku mchana tunagonga ndovu tu vidumekihedemshede tu, lione. Ujue mie ndo mwenyeji wake. Ohooo!
Sante mkuu, tena nikija chugga nina kikao na nyie. , .
Nimeshafika mjini kukusubiri boss wangu. Mbony shafooo clemeee!
Umeona eeh. . .halaf ndyofu ndo mpango mzima, si nimehama castle bhana? Yan asikwambie mtu raha ya ndyofu aijuae mnywaji.
Don Mangi natumaini jina lako linaonyesha wewe ni mgeni mwenyeji au siyo???? Aiseeee babaa angu karibu kwetuuuu Kaskazini, naaamini utafuraahiiii kweli babaaa angu.