Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,636
- 3,807
Habari zenu wanajamii.
Katika maisha Kuna kipindi mtu unakutwa na changamoto za kifedha mpaka unaamuua kuuza asset zako Kama njia ya kujikwamua.
Shida huwa sio kuuza au kuamua kuuza shida huwa Ni kupata Mteja..
Madalali wengi wanategema kiwanja Chako kupata pesa, Ila Kuna baadhi ya kampuni huwa nasikia wananunua wao alafu wanaboresha.
Kwaiyo mtu unauza kwa haraka na Mambo mengine yanaendele..
Sasa ndugu zangu Kama Kuna mtu yoyote anajua njia hizo naomba anisaidie.
Ahsante Sana.
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app