Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima

Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,210
Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Kelly-Rowland-in-her-new-album-artwork-1111-2.jpg


Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yetu, kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri, kuwa nini uchokuwa ukizungumza.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza naye kwa majibu yasiyo na anayokuwa akikujibu, na kama kwa bahati mbaya ukonaye karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.

6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.
7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu viingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asichikie au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mzungumzo yenu. Bali cha zaidi jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.
9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi utoe maoni yako.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke mwenye kuhitaji mapenzi ya kweli - yani sio kwa wanawake wanaolenga kuchota pesa kwako na kutokomea. Hivyo kuwa makini sana
 
Maisha ya sasa ni tofauti na enzi za mwaka arobaini na saba, hakuna mtu anayetaka maneno mengi, sasa ni digital na sio analog, watu wanataka mialiko ya lunch, dina, out poketi Money, mkono mtupu haulimwi digitali
 
Nikupangilia uongo vizuri unamnasa mwanamke yeyote yule.
 
Hizo zote mbwembwe tu mkuu, wakati unanena yote hayo yeye anameza tu wine kakija kale kabili kwenye kakitabu hasa kama ni mlimani city ukichungulia tu libido inashuka hadi magotini. Ingia straight kwenye 18 zake ktk the first 5 minutes.
 
Wanawake siku hizi wanashahabiana na ving'amuzi...wamehamia digitali siku nyingi, bila kutoa hela hakika utaambulia kuona chenga tu au kitu "no signal".
 
Wanawake siku hizi wanashahabiana na ving'amuzi...wamehamia digitali siku nyingi, bila kutoa hela hakika utaambulia kuona chenga tu au kitu "no signal".

tunaenda na sayansi na tekinolojia.
 
Hahahahaaaaaaaaa! MONEY TALKS IN CAPITAL LETTERS!!!!!!!!

Talkin !!!!!! Is cheap anybody can say all the shit u wanna hear because incase u havent noticed ITS FREE!!!!!!

Money!!!!!!!! Is somethin else! It shows the man is committed to his word! He is ambitious to turn his words to reality! HE IS THE MAN!!!!!!:cheer2:
 
Hahahahaaaaaaaaa! MONEY TALKS IN CAPITAL LETTERS!!!!!!!!

Talkin !!!!!! Is cheap anybody can say all the shit u wanna hear because incase u havent noticed ITS FREE!!!!!!

Money!!!!!!!! Is somethin else! It shows the man is committed to his word! He is ambitious to turn his words to reality! HE IS THE MAN!!!!!!:cheer2:
Hahaaaa, analeta issue za mwaka 47 leo..! Mkwanja ndo kila kitu..! I have never lost a gal looking for money..!
 
Back
Top Bottom