Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima

Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.
Kelly-Rowland-in-her-new-album-artwork-1111-2.jpg

Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yetu, kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri, kuwa nini uchokuwa ukizungumza.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza naye kwa majibu yasiyo na anayokuwa akikujibu, na kama kwa bahati mbaya ukonaye karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.

4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko si mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.
6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.
7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu viingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.

8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asichikie au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza maswali mengi katika mzungumzo yenu. Bali cha zaidi jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.
9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.

10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi utoe maoni yako.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke mwenye kuhitaji mapenzi ya kweli - yani sio kwa wanawake wanaolenga kuchota pesa kwako na kutokomea. Hivyo kuwa makini sana

Hii ilikuwa applicable, mwaka 1993 kurudi nyuma, but nowadays hawa mabinti wana ka principle kao kanaitwa " 3F Rule " If u cant feed and finance her, u cant f *** her. Try again brother
 
Mie na uhansam wangu miaka mitano sijapata mpenzi wa ukweli. Bila hela sikuhizi huambulii mbunye, hata uwe na swaga za vp bila kutoa fweza utachekwa
 
hamia digitali. mapenzi ya sasa pesa yako utapata kila kitu. uwongo mwingi ukweli kidogo
 
Hii ilikuwa applicable, mwaka 1993 kurudi nyuma, but nowadays hawa mabinti wana ka principle kao kanaitwa " 3F Rule " If u cant feed and finance her, u cant f *** her. Try again brother

hehe mkuu king'amuzi chako hatari
 
Akikubali kutoka na wewe kwenda labda dinner au lunch ujue kakubali, jipange na sio maneno maneno. Kwanza uwe na Galaxy III (au HTC One X, ukiweza iPhone 5 umemaliza) na Ki-BlackBerry, mnaongea huku unatelezesha vidole kwenye simu sio mambo ya kubonyeza kipad.

Vile vile ukumbuke kwamba swala la usafiri ni muhimu, sio mtu anaogopa kunywa wine kisa atapanda daladala baada ya hapo! Nani anataka kuyumba yumba kwenye dala dala?

Hakikisha hushangai shangai bili ikija lipa! Muulize kama atapenda kubeba wine ili muondoke na chupa moja la kwake. Sasa muda wa kuondoka kama ni jioni (hiyo ni dinner) muulize kama atamind umpitishe apaone kwako ili siku nyingine akitaka kuja kukutembelea aweze kuja moja kwa moja.

Kwa mbinu hizi chache mzigo ni wako siku hiyo hiyo unamaliza. Digitali haina chenga!

Haha haha we mkare hapo pa kutokutoa macho bil zikija wachaga utawasamehe babaaaangu!
 
Nadhani kabla ya namba moja kuwe na 0,1,2 na kuendelea, nadhani mada inasema Njia za kutongoza mwanamke akakupenda daima alafu mleta uzi anaanza na namba moja kuhusu mazungumzo ya hisia wakati nadhani kabla ya namba moja kuna kitu hapo kitakachokuunganisha na bidada mpaka uanze maongezi yako ya hisia (utangulizi before maongezi ya hisia vinginevyo atatuingiza chaka na theory zake wake tunapotaka kuzi-apply)
 
Hii ilikuwa applicable, mwaka 1993 kurudi nyuma, but nowadays hawa mabinti wana ka principle kao kanaitwa " 3F Rule " If u cant feed and finance her, u cant f *** her. Try again brother

Haha haha haha!a new rule 3F OMG everyday a new one,it was 3C's ,3keys now we got 3F's & the world z still revolving!
God ve mercy... coz his pple dont!
 
Wadau wengi wamesema hapendwi mtu ila pesa, hapa mie naona ni KWELI lakini pia SI KWELI maana hata kama una hela za kumwaga lakini kama huna mbinu ya namna ya kuzitoa kwa mwanamke bado kuna mazingira utaonekana kituko mbele ya mwanamke na ndio maana wakati mwingine dhana ya UONGO hapa inaingia kwani mwanaume anaweza akawa ana za kubadilishia mboga lakini akajipanga kiaina aka-spent na mwanamke vijisenti vyake na akaonekana pedeshee kumbe mkalamkala tu ila mbinu na saikolojia ya mwanamke anataka nini anayo.

Wakati mwingine ukikata sana ela bila sababu kisa unaamini money talk bado huyo ulienae atakuwa anajiuliza kulikoni mfano hii ni joke but huwa zipo mtu anatoka na mwanamke alafu akiagana anampa laki mbili anamwambia ya taxi kurudi kwake i.e. uhalisia unakosekana na ndipo concept ya BUZI LANGU linapoanzia, fedha itumike but kwa sababu huku ukiuza na mashairi kidogo (software) sio unakuwa mzee wa vitendo tu (hardware)

Chidumule alitoa mstari mmoja hivi kwenye wimbo wake kama naukubali vile : USITUMIE FEDHA KAMA FIMBO KAKA MPAKA PALE KUNAPOKUWA NA MAKUBALIANO HAPO NDIO FEDHA INAKUWA INA THAMANI.
 
sio kila mwanamke atafuta cha mfukoni, tatizo lenu mamen mwataka warembo so mtulie mchunike.kumbuka warembo sana sio waolewaji kwani hata kutunza familia hawajui.
 
Mwanamke wa kwel hatajal ulchonacho na unakoka.na wanaume yatpasa tuvae uhalsia wa uanaume daina ndko twafankiwa
 
Wanawake siku hizi wanashahabiana na ving'amuzi...wamehamia digitali siku nyingi, bila kutoa hela hakika utaambulia kuona chenga tu au kitu "no signal".

We umepatia hahahaha
 
Mi nakuunga mkono englibertm , si wanawake wote wapo Digital relationship.... Wapo wanaopenda kwa dhati japo ni wachache
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa, analeta issue za mwaka 47 leo..! Mkwanja ndo kila kitu..! I have never lost a gal looking for money..!

Nadhani hamjaielewa N:B ya mleta huzi huu. Sio kila mwanamke anapenda hela, wapo wenye mapenzi ya dhati. Ukifuatilia kwa makini utagundua wanawake wengi wanaoendekeza hela, offer, nk wana poor family background. Wengi ni Wazaramo, watoto wa uswazi, hawana future, wanatafuta hela za carolight. Kimsingi factor za mleta uzi zitaapply kutegemeana na aina ya mwanamke. Wapo wanawake wa type zote.
 
Back
Top Bottom