FestoKaguo
Senior Member
- Apr 1, 2022
- 128
- 202
You know when conducting research and you reach the stage of data collection, as a researcher, unakuwa na uwanja mpana wa kuamua njia ipi utumie. Should you go for primary data, secondary data, or both?
Okay may be let me break them down ili tuelewane kidogo, the moment I say primary data hapa nakuwa namaanisha hizi ni data ambazo unalazimika kwenda kuzikusanya wewe mwenyewe fresh from the source.
Ambapo ikitokea umeenda kwenye source unaweza ukaamua kuzungumza moja kwa moja na respondents wako kupitia interviews questions wakawa wanakujibu au unaweza ukawapa watu maswali wajibu, either hayo maswali ukayatuma online kama google form au ukawapa printed paper au ukawa unashuhudia matukio halisi au tabia za eneo husika na kuandika data zako husika.
Ila linapokuja suala la secondary Data lenyewe hata sio complicated kwa sababu unatumia data zilizokusanywa tayari na watu wengine, unachofanya wewe ni kuzichambua na kuzitumia kwa research yako.
Unaweza ukaamua kuzikusanya kwa kusoma Research zilizofanywa na scholars au kupitia taarifa kutoka kwa taasisi na vitabu vya kitaaluma na mda mwingine unaweza kupitia takwimu kutoka sites kama IMF, TMA au WHO.
Ila binafsi kwa upande wangu mimi kijana kutoka Nonde mtaa maarufu kwa kuwa na wajane wengi jijini Mbeya huwa napenda sana nipate data fresh from the source mambo ya kukalishana chini tupitie what others did
huwa naona kama sipati uhuru sana wa kukusanya taarifa ya ninachokitafuta. Ila kama ni wewe unayesoma hii post unahitaji kukusanya data kitu muhimu unachopaswa kujiuliza ni..🤔
Je, research yako inahitaji data mpya kabisa from the source au unaweza kutumia zilizopo kwa kusoma previous studies? Kama unataka fresh insights, basi haina hiyana nenda na primary data maana inakuwa ni bora kwako
Ila, kama unahitaji historical data na trend analysis, secondary data linakuwa ni chaguo sahihi sana upande wako. Japokuwa kama una mda sometimes, using both methods can give you a stronger foundation.
Ushauri wangu kwako sasa ukiamua kuchagua primary data, jiandae kwa kupoteza sana muda na resources nyingine kama pesa. Ila ukichagua secondary data, basi hakikisha source zako ni reliable!
Kwa mahitaji ya research writing unaweza kunitafuta kwa namba 0765772976