Njia za kuepuka usumbufu wa simu

Njia za kuepuka usumbufu wa simu

Wajomba habari yenu bana sasa mimi nimejaribu hiyo kitu kwa airtel imegoma bado simu zinazama kama kawa nifanye nini? Ile ya *35*0000# nayo magamba inagoma mazima arif. Kama niaje nifanyieni mpango kwa PM
 
Back
Top Bottom