Rai Pazzy JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 493 Reaction score 187 Dec 23, 2016 #1 Wakuuu nambeni nijuzwe namna gani naweza kucreate bios ili niweze kuenjoy PS 2 games katika pc yangu Nakwama kwenye hiyo stage ya kucreate bios so nilikuwa naomba kwa mwenye ujuzi juu ya hili anielweshe
Wakuuu nambeni nijuzwe namna gani naweza kucreate bios ili niweze kuenjoy PS 2 games katika pc yangu Nakwama kwenye hiyo stage ya kucreate bios so nilikuwa naomba kwa mwenye ujuzi juu ya hili anielweshe
Chichmoore Member Joined Jan 30, 2013 Posts 85 Reaction score 26 Dec 23, 2016 #2 Nenda Google kwa msaada zaidi. Usisahau na YouTube pia itakusaidia.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,232 Dec 23, 2016 #3 hizo bios unadownload tu mkuu hautengenezi. kama hujui ufanyalo nenda torrent kuna pcsx2 ambayo ina kila kitu bios, plugin, na makorokoro mengine
hizo bios unadownload tu mkuu hautengenezi. kama hujui ufanyalo nenda torrent kuna pcsx2 ambayo ina kila kitu bios, plugin, na makorokoro mengine
Rai Pazzy JF-Expert Member Joined Jul 6, 2015 Posts 493 Reaction score 187 Dec 25, 2016 Thread starter #4 Chief-Mkwawa said: hizo bios unadownload tu mkuu hautengenezi. kama hujui ufanyalo nenda torrent kuna pcsx2 ambayo ina kila kitu bios, plugin, na makorokoro mengine Click to expand... Ok
Chief-Mkwawa said: hizo bios unadownload tu mkuu hautengenezi. kama hujui ufanyalo nenda torrent kuna pcsx2 ambayo ina kila kitu bios, plugin, na makorokoro mengine Click to expand... Ok