Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

TIQO ndo nikaitwa mama wa huyu binti wangu wa pekee,hata ningempata kwa mume mwingine nje ya ndoa nisingeflash.
 
Bibie Meljons Ninakufundisha Dawa

za mababu wetu walizokuwa wanatumia na kufanya tendo la ndoa pasipo kushika mimba tumia njia hii Mbadala fanya hivi.

Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume

wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback. Na njia ingine hii ukitaka usishike

Mimba Mtafute Mdudu Mmoja anaye itwa kwa jina Popo ukisha mpata mchinje upate kichwa chake uwe unaweka kichwa chake kwenye chini ya mto wako wakulalia

hautapata mimba muda wa hicho kichwa cha popo kipo chini ya mto wako wa kulalia jaribu kutumia moja ya hizo dawa

kisha uje hapa unipe feedback.
da

lol..wewe ni noma, labda hiyo nyingine maana hii ya popo inatisha kidogo
 
KUTUMIA KALENDA KWA KUZUIA MIMBA



Kwanza nataka niwaeleze wadau juu ya athari za vidonge vya kuzuia mimba:

Wanawake wengi hujikuta wanakumbwa na machafuko ya tumbo au kutapika wakati wa asubuhi, kuvimba matiti kama siyo kukumbwa na dalili za ujauzito mara wanapoanza kutumia vidonge kwa mara ya kwanza!Hii husababishwa na vidonge hivyo ambavyo vina hormones zile zile ambazo mwanamke huzitia kwenye damu wakati akiwa na mimba. Hata hivyo wataalam wanasema kuwa dalili hizi hufikia kikomo baada ya miezi kati ya 2 hadi 3.

Sambamba na hilo watumiaji wengine wavidonge hutokwa na damu nyingi wakati wakiwa kwenye siku zao.

Athari kubwa anayoweza kuzipata mtumiaji wa vidonge vya kuzuia mimba ni kuganda kwa damu kwenye moyo, mapafu au ubongo!

Wadau naomba muelewe kuwa kwa wanawake wengine mimba pamoja na kutumia vidonge vya kuzuia mimba vina hatari kubwa zaidi kwao. Hivyo basi wanawake hawa ni lazima watumie njia zingine za kuzuia mimba!

Baada ya kutanabaisha hayo naomba sasa nimjibu dada yangu jinsi yakutumia kalenda kujikinga na mimba!

Njia hii haina uhakika sana wa kuzuia mimba, lakini ni nzuri kwa sababu haigharimu chochote.Njia hii huwafaa zaidi wanawake amabo taratibu za siku zao za kwenda mwezini ni kawaida mara moja kila baada ya siku 28, na ili iweze kuzaa matunda, njii hii huhitaji mtumiaji awe tayari kukaa bila kukutana kimwili kwa muda wa wiki moja kila mwezi!

Kwa kawaida kuna siku 8 tu kila mwezi ambazo mwanamke anaweza kupata mimba ambapo siku hizi zipo katikati ya siku zake za kwenda mwezini, na huanza siku 10 baada ya siku ya kwanza ya kupata damu ya hedhi. Hivyo basi ikiwa mwanamke yoyote hataki kupata mimba ni lazima aache kukutana na mwanaume kwenye siku hizi 8! Naamini hili linawezekana kwani siku nyingine zilizobakia wapendanao wanaweza kujiachia kama kawaida kwani hakuna uwezekano wa mwanamke kushika mimba!

Ili kuepukana na kutatanikiwa, ni lazima mwanamke aonyeshe kwenye kalenda zile siku ambzo hatakiwi kukutana na mwanaume. Hapa inaweza kuwa ngumu kuchora kalenda ya ukutani kwa kuwa inatumiwa na wengi lakini ni rahisi kutekeleza hili kwa kutafuta pocket kalenda [kijikalenda ambacho waweza kiweka kwenye pochi yako]

Kwa mfano: Unaingia kwenye siku zako tarehe 5 Desemba, weka alama kwenye tarehe hiyo kisha hesabu siku 10 na baada ya hapo pigia msitari siku 8 zinazofuata!

Angalia mfano huu:-

Kumbuka siku hizo nane utakazozipigia msitari ni hatari kwani ukikutana na kidume tu na kushiriki ngono bila kutumia kondom utashika mimba, hivyo ni vema usikutane na mwanaume hata kidogo, yani epuka hata akikubembeleza na lugha laini kuwa nitapizia nje sweetie, sijui nini na nini kama hataki tumia kondom kataa kwani kupizia nje ni bahati nasibu hasa pale mwanamke anapoamua kumpa mwanaume maujuzi ya kabatini ambayo ni adimu, yaani mwanaume hupewa kwa sababu maalum tu hali inayomfanya apagawe kwa huba na hivyo huweza msababisha ashindwe kupiziza nje!

Nimalize kwa kusema kuwa, mwanamke anapaswa kuendelea na utaratibu huu kila mwezi lakini akumbuke kuwa, njii haina uhakika sana mbaka itumiwe sambamba na njia nyingine kwama vile kondom.cc.@
Nabihu

Kuna wengine wanaingia mara mbili kwa mwezi. Kwa maana kwamba kama wakifuata mzunguko, ngono bila condomu ni siku tano za mwezi! Hayo maelezo yako hayajitosherezi.
 
da

lol..wewe ni noma, labda hiyo nyingine maana hii ya popo inatisha kidogo
Bibie Meljons tumia njia hii rahisi
Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume

wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback.
 
best hujaielewa hiyo dawa ya dr MziziMkavu. Yaani ili kuzuia mimba, memsahib na wewe mnakula maisha kwa raha zenu as long as umechinja popo, a kichwa chake uaweka chini ya pillow. ila angalia ukinogewa usije ukatupa pillow hukoo, kitakatikia ghafla.
Mhhhh! Haya banaa Best angalia lakini usije ukafunguliwa law suit baada ya wateja wako kulalamika puchipuchi haina utamu tena. Si unazijua njemba hazikawii kulalamika hi puchipuchi ni aje mbona imekuwa midabwada!?

 
Last edited by a moderator:
mwaamke anaeambiwa anaingia hedhi mara mbili kwa mwezi haimaanishi i kila baada ya wiki 2. kama mzunguko i siku 28, akianza tarehe 1, ataanza tea siku zake tarehe 29. Kama mwezi una siku 31 na yeye anapata siku 3, atamaliza tarehe 31. Japo ni mara mbili kwa mwezi lakini muda unaruhusu kufanya hesabu sawasawa.
Kuna wengine wanaingia mara mbili kwa mwezi. Kwa maana kwamba kama wakifuata mzunguko, ngono bila condomu ni siku tano za mwezi! Hayo maelezo yako hayajitosherezi.
 
huu ushauri kama wa mganga wa kienyeji, lol!
Bibie Meljons Ninakufundisha Dawa

za mababu wetu walizokuwa wanatumia na kufanya tendo la ndoa pasipo kushika mimba tumia njia hii Mbadala fanya hivi.

Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume

wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback. Na njia ingine hii ukitaka usishike

Mimba Mtafute Mdudu Mmoja anaye itwa kwa jina Popo ukisha mpata mchinje upate kichwa chake uwe unaweka kichwa chake kwenye chini ya mto wako wakulalia

hautapata mimba muda wa hicho kichwa cha popo kipo chini ya mto wako wa kulalia jaribu kutumia moja ya hizo dawa

kisha uje hapa unipe feedback.
 
Shabu ndo nini jamani???
Mkuu charminglady Nenda kaulize wanapouza Dawa za kiarabu wapemba karibu na sokoni Kariakoo utaipata hiyo Shabu.
ShabuPD.jpg

Shabu kwa kiingerwza inaitwa Methamphetamine

crystal-meth.jpg


 
Last edited by a moderator:
Hii leo maalim Mzizimkavu umetoa kinga ngumu kichwa cha popo dah,awe mzima ndo ukate kichwa au ata aliekufa
CC Mzizimkavu
"VV"
Mkuu MALICK MUSSA Kinachotakikana ni kichwa cha popo ukikate hata aliye kufa pia unaweza kukitaka kichwa chake ukaweka chini ya mto wa kulalia kwa ndani yake (Pillow) Basi dume hata akifanya ufundi wa aina gani mwanamke au mke wake hawezi kushika mimba kamwe Tumia kisha uje hapa unipe Feedback. Chanzo ni Chemical MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.

pillow_firm.jpg


Mto wa kulalia au kwa kiingereza unaitwa Pillow una siri kubwa sana.
 
Back
Top Bottom