mchawi mpe mwana alee.....Ndio ule msemo mwizi mkabidhi shamba
Sijui kama wanaweza kuamini mkuu
dawa nyepesi tu, kila mtu agewe tembo wake alinde mwenyewe.....
haiwezekani kubaki hao, au hao ndio mliosafirisha.....?Tembo wenyewe wamebaki 16 tu. Raia tuko Million 40. Unataka vita nyingine ya kugombania Tembo?
Kuna wachawi manunda mkuu... Unampa mwana amlee na anamroga vile vile....mchawi mpe mwana alee.....
dawa nyepesi tu, kila mtu agewe tembo wake alinde mwenyewe.....
nia bora na makini