Njia Ya Uhakika Ya Kutibu Ufisadi Ni Hii


Mtu Mzima

Mtu Mzima

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
380
Likes
8
Points
35
Mtu Mzima

Mtu Mzima

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2007
380 8 35
Ushaidi wa kimazingira na wa nyaraka unaonyesha kwamba hiyo deal ya Buzwagi-Kabwe Gold mine iliunganishwa na mipango iliandaliwa vizuri tu kuifanikisha,haikuwa coincidence kwa mkataba kusainiwa wakati marafiki hawa wakiwa wote uingereza,walikubaliana wote hata kufuta kipengele cha kodi wote walisoma mkataba kabla haujasainiwa.Hii ni tahadhali kwamba Tukitaka kuondoa ufisadi inabidi kung'oa mizizi sio kukata kichwa,hawa mawaziri na viongozi wengine wanafanya ufisadi sababu wana uhakika na security ya vyombo vyote vya usalama kama mlivyoona taarifa ya usalama wa taifa katika ripoti ya slaa.
Hata jeuri waliyonayo hawa mafisadi ya kuwatukana watanzania na kuwakejeli ni kwa sababu Mkuu ashawahakikishia wasiwe na wasiwasi hata kama uchunguzi ufanyike kwa kutumia vyombo vilivyopo wana uhakika wa kutoka clean
QN: HAT TO DO?
ANS:Nguvu ya umma

Hii kwanza itumike kukata haya matawi ya ufisadi lakini lengo kuu la muda mrefu liwe ni kung'oa mizizi kabisa,bila hivyo matawi haya yakiondoka leo kesho yatachipuka mengine!
 
L

Lawson

Member
Joined
Sep 25, 2007
Messages
70
Likes
1
Points
0
L

Lawson

Member
Joined Sep 25, 2007
70 1 0
kweli mkuu hawa bila mgomo kama wa Burma hawawezi pisha ofisi zao maana polisi, takukuru, mahakama, jela etc vyote wanamiliki wao
 

Forum statistics

Threads 1,238,731
Members 476,123
Posts 29,328,131