Njia ya mkojo inawasha

nielekeze inapatikana wapi dadaangu
nenda sokoni kama muda unao ukanunue matunda halisi au kama huna muda zama supermarket kama shrejees,shoprite na zinginezo utapata juice tayari, au hata maji ya dafu kwa wingi yanasafisha iyo kituna maji ya kawaida muhimu sana kwa wingi..
 
Wadau nina hili tatizo la kuwashwa njia ya mkojo. Pia wakati wa kukojoa nina maumivu wakati fulani. Nielekezeni kwa urologist mzuri tafadhali

teh teh teh, Ukimaliza kukojoa fanya kama unakamua uume, vipi unatoka usaaa...kama ukitoka basi we mzima usiwe na shaka, ila Usipotoka Tuma SMS kwa shemeji umpitie mwende kwa daktari haraka mwafwaaa......:becky:
 
hivi hapo kama majibu yakiwa sivyo ndivyo maambukizi yametokea wapi vyoo ,maji ,ngono zembe??
 
Kwa mara nyingine tena asanteni kwa ushauri wenu mwanana. Nitapenda zaidi kutumia hizo tiba mbadala kuliko hizi za vidonge
 
Wadau nina hili tatizo la kuwashwa njia ya mkojo. Pia wakati wa kukojoa nina maumivu wakati fulani. Nielekezeni kwa urologist mzuri tafadhali

Kuwa mwaminifu kwa mpenzi mmoja. kama ukishindwa tumia Condom.
 
mkuu ni age inakusumbua au ulipo kuwa young ulikuwa unasugua sana pole sana waone wahusika watakusaidia
Conquest-Msumari wa jahazi haupigwi ktk nyumba
 
Angalia mkuu kama unatabia ya kufanya kinyume na maumbile sometimes unaweza kupatwa na tatizo hilo na linaweza hata kusababisha kupigwa bomba; ila najua wewe sio kijana wakufanya uchafu huo. But this can be a warning for those who practice such diety thing. Be Careful!!:ballchain:
 
dah! Ulinishtua. Umefanya vyema kujikanusha. Hayo mambo sipo kabisa
 
Itakuwa ni dalili za gonjwa la zinaa! wahi hospital na kuchukua vipimo vyote muhimu, pole sana!..
 
Kingi

there is way out, waweza pata hizo supplements na tiba mbadala, lakini ushauri wangu ni wewe kujaribu kuangalia nini kilibadilika kitabia au matendo kukuletea tatizo.. otherwise yaweza kuwa UTI, umejeruhi njia kwa namna moja au yingi [coomon one ni ile ya kubana sana mkojo na kuuachia ukiwa bado umebana njuruu, au ile ya kupiga bao ukiwa umebana sana], nyingine ni STI

Waweza tumia dawa na supplements, lakini nakushauri tumia dawa nzuri... wengi nimeona wa UTI halafu wanapewa dawa za wadudu wengine

ona wataakam au on wataalam.... supplement/njia mbadala zaweza saidia au kutosaidia pia
 
teh teh teh, Ukimaliza kukojoa fanya kama unakamua uume, vipi unatoka usaaa...kama ukitoka basi we mzima usiwe na shaka, ila Usipotoka Tuma SMS kwa shemeji umpitie mwende kwa daktari haraka mwafwaaa......:becky:
hapa ni vice versa eeh? Eti Elnino?
 
Obvious na yeye atakuwa mdau wa hizo sabuni. Ebu ngoja atatujibu kama akipita hapa

nimepita aisee. Kwa suala hilo it was in them days. Hata we umedo sana hayo mambo kwa unavyoonekana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom